Ben Pol aachana na Management ya Panamusiq

Ben pol ameipigia chini Management iliyokua inasimamia kazi zake ‘Panamusiq’

benpol copy

Muimbaji wa ‘Sophia’ Ben pol amedumu chini ya management hiyo kwa muda wa miezi mitano kuanzia mwezi wa April aliposaini hadi mwezi September.

Hata hivyo hajaweka wazi sababu za kwanini ameamua kuachana nao zaidi yamadai yakutoridhishwa na baadhi ya vitu.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s