Orodha ya Forbes ya wasanii wa HipHop waliotengeneza mkwanja mrefu zaidi 2015,

Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii wa Hiphop waliotengeneza pesa ndefu zaidi kwa mwaka 2015  Hip Hop Cash Kings’, orodha hiyo imeongozwa na Sean Combs au P.diddy kwa kiasi cha dolla million 60, ameingiza pesa nyingi zaidi kupitia kinywaji chake cha ‘Ciroc Vodka’ na label yake ya Music ‘Bad Boy records’ na mikataba mingine

drake jay z

Nafasi ya pili ikiwa imeshikiliwa na mmiliki wa ‘Tidal’  Jay Z akiwa na kiasi cha dolla Million 56, pesa nyingi ameingiza kupitia label yake ya ‘Roc Nation’ na nafasi ya tatu imeshikwa na Drake akiwa na kiasi cha dolla Million 39.5

Hii ndio orodha kamili,

 1. Diddy: $60 million
 2. Jay Z: $56 million
 3. Drake: $39.5 million
 4. Dr. Dre: $33 million
 5. Pharrell: $32 million
 6. Eminem: $31 million
 7. Kanye West: $22 million
 8. Wiz Khalifa: $21.5 million
 9. Nicki Minaj: $21 million
 10. Birdman: $18 million
 11. Pitbull: $17 million
 12. Lil Wayne: $15 million
 13. Kendrick Lamar: $12 million
 14. J. Cole: $11 million
 15. Snoop Dogg: $10 million
 16. Rick Ross: $9 million
 17. Tech N9ne: $8.5 million
 18. Ludacris: $8 million
 19. T.I.: $6 million
 20. Macklemore & Ryan Lewis: $5.5 million
Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s