Snoop Dogg kufungua tovuti ya maisha ya watumiaji bangi.

Rapa Snoop Dogg ametangaza rasmi mpango wa kufungua tovuti itakayoeleze maisha ya utumiaji wa bangi kwa sababu tofauti.

index.php

Tovuti hii ya MerryJane.com itaanza kufanya kazi October na itakuwa na mitazamo tofauti ya watumiaji maarufu wa bangi kama mwigizaji Seth Rogan.

Snoop Dogg alisema “Navuta bangi kwaajili ya matatizo ya kiafya na inanifanya nipumzike vizuri, napenda kuona mambo mazuri tu kwenye mazingira yangu “.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s