Baada ya mchezo wa watani wa jadi Amani itawale

Written by Dauka Somba

Wapenzi na mashabiki wa klabu ya Simba pamoja na Yanga wametakiwa kuendeleza amani iliyopo nchini baada ya kumalizika kwa kipute cha leo baina ya timu zao kwani michezo ni afya pia inawaleta watu pamoja.

12055296_1933259763566067_1892364448_o

Akiongea na Habarizao baada ya kumalizika mchezo huo Muwakilishi wa Shirika lisilo la kiserikali la Global Paece Foundation Hilda Ngaya amesema Amani iliypo inatakiwa kuendelezwa kwani waTanzania wote ni wamoja.

Ngaya amesema Shirika hilo limeamua kuzindua sera yake ya amani kwanza kwa upande wa michezo katika mtanange wa leo kwasababu ya mvuto uliopo baina ya timu hizo zenye mashabiki wengi nchini.

“Kutokana na mchezo huu unachezwa katika uwanja wa taifa kwahiyo hatuna budi kuanzia kwenye mchezo huu alafu baada ya hapo tutaelekea nchi nzima kwasababu michezo inapendwa na kila rika,’’alisema Ngaya.

12043986_1933259066899470_785215022_o

Katika mchezo huo wa leo Yanga imefuta uteja kwa kuwalambisha mchanga mahasimu wake wa msimbazi baada ya kuwapa zawadi ya mabao 2-0 ambayo yamefungwa na Amis Tambwe na Malimi Busungu huku beki wake Mbuyu Twite akipewa kadi nyekundu.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s