Daz Baba akandia mastaa wanaoigiza

Star mkongwe wa Bongo Flava Daz Baba ambaye anajivunia uhalisia zaidi katika kufanya maisha yake ya kila siku, amesema kuwa wasanii wengi wanaishi maisha ya kuigiza kuongopea watu, kitu ambacho hakina maana.

Daz-Baba11-1024x684

Daz ametoa maneno hayo akijitolea mfano wa maisha yake mwenyewe, akieleza kuwa binafsi akiamua anaweza kuonesha ufahari katika maisha yake lakini hataki kufanya hivyo.

eatv.tv

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s