Rapper wa Marekani B.O.B kufanya show nchi Kenya mwezi Desemba mwaka huu

Rapper wa marekani, B.O.B kufanya show nchini kenya kwenye Tamasha kubwa la ‘Jameson Live Party’ litakalo fanyika tarehe 12 mwezi  December mwaka huu.

bob

B.ob amethibitisha  ujio wake nchini kenya, ameandika   “Hey Kenya! Looking forward to Coming to Nairobi for the biggest #JamesonLiveKE 2015 party on December 12, Ngong Racecourse. See you then

Waandaji wa Tamasha hilo ‘JAMESON Irish Whiskey’ mwaka jana walimleta rapper mwingine wa Marekani 2chains nchini humo.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s