Diamond Platnumz,nilirepost Nataka kulewa ili wanigeria wajue ni muziki wa Tanzania unakubalika,alichosema kuhusu post za Swizz beats.

Jumapili ya Sept 27 2015 producer na rapa kutoka Marekani Swizz Beats aliweka kwenye instagram yake video za yeye na mtoto wake wakiburudika na nyimbo za Diamond Platnumz.

Akiongea leo kwenye kipindi cha XXL katika kipengele cha 255 alisema kuwa….

” Nilikuwa studio nikaambiwa tu jamaa kapost wimbo wake, baada ya dakika chache nikaona amenifollow ndio maana nikaweka picha nikiwa studio na Neyo ili akinifuatilia zaidi ajue jamaa niko powa sababu ya collabo za kimataifa, nilitaka kurepost Nana ila nikajua wanigeria watajua Swizz kasikiliza nyimbo kupitia Nigeria, nili repost Nataka kulewa ili kuwaonyesha wanaigeria ni muziki wa Tanzania unakubalika” .

Post za Swiss Beats za nyimbo ya za Diamond zilikuwa reposted na mashabiki wengi sana kuonyesha kufurahishwa na kitendo cha Swizz Beats.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s