Picha: Sauti Soul wakutana na Jay Z na Bill gates, waperfom jukwaa moja na Beyonce,Cold Play,Common na wengine wengi

Kundi la wasanii wa muziki la Kenya ‘Sauti Soul’ wamekutana na mmiliki wa Microsoft Bill gates na mmiliki wa ‘Roc Nation’ Jay Z jumamosi ya wiki iliyopita New York, Marekani.

sauti sol1 sauti sol2 sauti sol3

kwa mujibu wa picha walioweka kwenye mtandao wa Instagram wamesema walipata nafasi ya kuzungumza machache na Jay z hasa kuhusu muziki na biashara japo hawajaweka wazi kwa undani kuhusiana na hilo. Pia waliweka wazi mpango wa Billgates kutembelea Kenya.

sauti sol4 sauti sol5

Sauti Soul walipata nafasi kuperfom jukwaa moja na mastaa wakubwa wa muziki ikiwemo Beyonce, Common, Ed sheran, coldplay,  na wengine wengi kwenye Tamasha la ‘Global Citizens’,

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s