Rick Ross asema 50 Cent amefanya njama nipelekwa jela.

Rick Ross ametoa malalamiko yake juu ya njama zinazofanywa na 50 Cent na Jonathan Zamudio ila aende jela.

Rick-Ross

Jonathan Zamudio ni mfanya kazi wa nyumbani aliyefungua kesi dhidi ya Rick Ross na walinzi wake akilalamiki kuwa alipigwa na bunguki aina ya bastoli na kutekwa nyara ndani ya nyumba ya rapa huyo.

Rick Ross ameomba mahakama itupe mbali kesi hio sababu ni njama za 50 Cent za kuharibu maisha yake.

Ross anasema Zamudio alipewa nafasi ya kuishi kwenye nyumba ya wageni ya Rick Ross ila alipora na kuiba vitu vya nyumba hio, aliendesha magari ya kifahari ya Rozay bila ruhusa na kuchukua wanawake na kuwapeleka kwenye nyumba ya Rozay wakati jama hayupo.

Rozay ametumia ushahidi wa maongezi aliyofanya Zamudio na polisi wakati anapiga simu kuomba msaada wa kusindikizwa ka Rick Ross kuchukua nguo zake, hakusema jambo lolote kuhusu kutekwa na kupigwa.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s