Video: Swizz beatz amkubali Diamond, Apost video akicheza nyimbo za Diamond na mtoto wake

Rapper na Producer nguli wa muziki wa Marekani, Swizz Beatz amepost video kwenye mtandao wa Instagram akicheza nyimbo za Diamond Platnumz yeye pamoja na mtoto wake.

dean

Mara ya kwanza aliweka video ikimuonesha mtoto wake akicheza ‘Nana’ na baadae akaweka video nyingine akicheza ‘Nataka kulewa’

video nyingine akifundishwa kucheza nataka kulewa.

Kitendo icho ambacho kimepokelewa vizuri na mashabiki wa muziki wa Tanzania, ni njia moja wapo ya kuonesha kuwa mziki wa Tanzania ‘Bongo Fleva’ unaendelea kukua zaidi na unaendelea kupata wasikilizaji wapya.

Mchezaji wa Manchester City Wilfred Bony aliwahi pia kuweka video akicheza wimbo wa Daimond.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s