Adhabu aliyopewa Juma Nyosso kwa kosa la kumfanyia kitendo cha udhalilishaji John Bocco.

Kamati ya uendeshaji ya ligi kuu Tanzania Bara imemfungia Nahodha wa Mbeya City Juma Nyosso kutocheza soka kwa miaka miwili na faini ya milioni 2 kwa kosa la kumfanyia kitendo cha udhalilishaji Nahodha wa Azam John Bocco katika mechi ya juzi kati ya Azam fc na Mbeya City iliyopigwa katika uwanja wa Azam Complex.

nyosso vs boko

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s