Diamond aelezea kwanini CNN walimchagua kumfanyia ‘Documentary’ kuhusu Maisha yake

Siku chache zilizopita, Kituo kikubwa cha runinga cha CNN kilikuja nchini kumfanyia ‘Documentary’ mkali wa Bongo Fleva, Nassib Abdul au Diamond Platnumz ambaye amesema maisha yake binafsi yanawavutia watu wengi na hivyo kutaka kumjua Zaidi.

cnn

Akizungumza na XXL ya CloudsFm Diamond amesema ” Nafikiri maisha yangu na story yangu nzima kwa ujumla kuanzia kwenye muziki kwenye maisha na kila kitu inavutia watu kutamani kutaka kuijua mara kwa mara nafikiri ndio kitu kinasaidia kuona napata followers wa nchi tofauti tofauti……”

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s