Kondomu yenye umbo la chupi Uganda

Kuna aina mpya kondomu ya wanawake ambayo inapigiwa upatu na shirika moja nchini Uganda.

c28jb44ayt_1.7237900

Kondomu hii inaumbo la suruali ya ndani ya wanawake.

Inaweza kuvaliwa siku nzima na wanawake sawa na chupi aina ya ”g-string”

Kondomu hiyo ya kisasa maarufu kama ”panty condom” itasaidia wanawake haswa wanaposhiriki tendo la ndoa pasi na kutarajia ima ni ghafla ama ubakaji.

Haswa shirika linayoinadi kondomu hii ya kipekee inasema kuwa inanuiwa kuzuia usambazaji wa magonjwa mbalimbali kwa ngono ikiwemo UKIMWI.

Hata hivyo mamlaka ya madawa nchini Uganda inasema kondomu hiyo bado haijapimwa kuona kama inafikia viwango vya kitaifa.

Chanzo: Mwandishi BBC wa Kampala Siraj Kalyango.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s