Christian Bella aingia studio na Weusi, wimbo aliomshirikisha Alikiba kutoka mwezi ujao

Hivi ushajiuliza Christian bella kwenye wimbo mmoja na weusi itakuaje? Basi jibu litapatikana hivi karibuni kwasababu tayari collabo ya mzee wa Masauti Christian Bella na kundi la wasanii wa Hiphop, Weusi tayari imekamilika chini ya producer Nahreel.

untitleds

Kupitia mtandao wa Instagram, Christian bella ameshare picha akiwa studio ya ‘The Industry’ na wasanii wa kundi la weusi ambayo amesema itatoka mwishoni mwa mwezi wa 11, Ameandika “@johmakini @gnakowarawara C.B ft weusi Loading”

Pia Christian Bella ametangaza kuwa collabo yake na Alikiba ‘Nagharamia’ itatoka mwishoni mwa mwezi ujao, Bella Amesema “Kazi imeisha Leo na #weusi Ratiba ni mwishoni october tunaachia nagharimia + @officialalikiba Mwishoni november @joh_makini @gnakowarawara @nahreel”

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s