Habida Moloney ndani ya “New Beginnings”

Diva wa muziki kutoka Kenya, Habida Moloney ambaye ni msomi mwenye shahada ya Sanaa ya Maonesho ameshiriki katika tamthilia kubwa inayotayarishwa huko nchini Kenya ya New Beginnings, kuonesha kwa karibu uwezo wake wa kuigiza.

y_2

Katika Tamthilia hiyo ambayo itatoka katika siku za usoni, Habida ambaye fani hiyo aliyokwishaifanya sana akiwa huko Marekani atashiriki kama nesi ambaye amezama katika penzi na mgonjwa wake, kisa ambacho kimejaa changamoto na misukosuko ya hapa na pale itakayoangazia vizuri namna Habida anavyomudu fani hiyo.

p_4

Kihistoria akiwa nje ya nchi, Habisa amekwishashiriki mara kadhaa katika Tamthilia ya muendelezo ya vichekesho ya House of Payne iliyokuwa inafanyika chini ya utayarishaji wa mwigizaji na muandaa filamu wa kimataifa Tyler Perry.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s