Msanii wa Nigeria Runtown kutumbuiza kwenye Fainali za ‘Bongo Star Search 2015′

Msanii kutoka Nigeria, Runtown ni mmoja kati ya wasanii watakaotumbuiza siku za fainali za shindalo la kusaka vipaji ‘Bongo Star Search 2015′

Madam-Rita

Mkurugenzi wa Benchmark production na pia  Judge wa shindano hilo, Ritha Paulsen ametoa taarifa hiyo wakati akijibu maswali ya mashabiki wa kipindi icho, Wasanii wengine watakaotumbuiza ni pamoja na Yamoto Band, Christian Bella, Navy Kenzo, Peter Msechu na Kala Jeremiah.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s