T-Pain hatotumia Auto-Tune kwenye album yake mpya

Kwenye siku yake ya kuzaliwa ambapo amefikisha miaka 30 muimbaji  T-Pain ametangaza tarehe ya kutoka kwa album yake mpya na kusema itakuwa dukani December 11th 2015.

T-Pain-talks-about-homophobia-in-urban-community

Kwenye interview na Rap-Up TV T-Pain amesema “ mtamuona T Pain mpya na tofauti kwenye album hii, mtamuona the real T Pain, sitengenezi hits tena ila nategeneza album bora sasa itakayodumu, sitatumia Auto-Tune”

T Pain alisema awali kuwa hatatumia Auto tune kwenye album yake mpya na wasanii kama Juicy J yupo kwenye “Make That Shit Work.”

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s