Video: Kim Kardashian adai kuwa alikua hafahamu mpango wa Kanye west kugombea uraisi, ataja jina la mtoto wao wa pili

Mke wa Rapa Kanye West ‘Kim Kardashian’ amezungumzia jina la  mtoto wao wa pili na kuhusu Kanye West kugombania urais nchini Marekani.

untitled

Wakati anafanya mahojiano na Kipindi cha ‘The Ellen show’ Kim Kardashian amesema  “Taarifa za kugombani urais nilikuwa sizijui, ilikuja kama Suprise kwangu, ni jambo kubwa sana kulifanya bila kumuhusisha mke wako ila bado na muunga mkono mume wangu”

Kuhusu Jina la mtoto wao wa pili Kim amesema hataitwa South, East au West ila angependa kumuita ‘Easton’ japo hana uhakika kama Kanye atalipenda hilo jina.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s