Majina ya wasanii kwenye kipengele cha Best Africa Artist cha Mobo Awards 2015.

Tuzo za 20 za MOBO zinazofanyika Uingereza zimetoa majina ya wasanii wanao wania vipengele tofauti. Wasanii kutoka Nigeria na Ghana wametawala kipengele hicho huku msanii aliyechukua tuzo hio mwaka janaFuse ODG Aliwa juu kabisa ya orodha hio.

untitled

Mwaka huu tuzo hizi zitafanyika Leeds Uingereza kwenye ukumbi wa Direct Arena jumatano ya November 5, 2015.

Best African 

Fuse ODG
Davido
Wizkid
Patoranking
Moelogo
Yemi Alade
Aka
Mista Silva
Shatta Wale
Silvastone

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s