Lulu: Mimi na Dk. Cheni ni Siri Yetu!

SIKU Chache baada ya muigizaji wa siku nyingi, Mahsein Awadhi Said ‘Dk. Cheni’ kutoa tamko juu ya kumuoa ‘mtoto mkubwa’ katika tasnia hiyo, Elizaberth Michael Kimemeta ‘Lulu’, binti huyo mwenye mvuto amesema hakuna mtu wa kumzuia kuwa karibu na Dk. Cheni huku akishikilia alichokisema…. “mambo yetu hayamhusu mtu”, Amani liliandika.

lulu-na-cheni

Muda mfupi baada ya Dk. Cheni kusema haoni tatizo kwa kumuoa Lulu, gazeti hilo lilimtafuta msanii huyo kwa njia ya simu  “Mtu anayesimama na wewe wakati wa shida ndiye rafiki kwa kweli, Dk. Cheni amenisaidia pale ambapo kila mtu alijitenga nami, kama kuna kinachoendelea kati yetu, ni cha kwetu na mambo yetu,” alisema.

Chanzo: GPL

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s