Kundi la kudance la Tanzania ‘T-Africa’ lashinda shindano la Sakata Mashariki

Kundi la kudance ‘T-Africa’ kutoka Temeke, Dar es salaam Tanzania limeshinda shindano la ‘Sakata Mashariki’ msimu wa 6 na kujinyakulia kitita cha Ksh  Million 1 ambayo ni sawa na Million 20 ya Kitanzania.

Sakata Mashariki ni mashindano ya kudance yanayokutanisha makundi mbalimbali kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kwenye jukwaa moja na Mshindi kujinyakulia kitita cha Ksh. Million 1

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s