New Music: Drake Ft Beyoncé – ‘Can I’

Baada ya kufanya mixtape na rapa Future, sasa bosi wa OVO, Drake amerudi kwenye album yake mpya na ametoa single yake aliyofanya na Beyonce. Wimbo “Can I,” uliwahi kuvuja ila ulikuwa demo tu.

Drake na Beyonce wamewahi kusikika kwenye wimbo wa “Mine” kwenye album ya Beyoncé ya mwaka 2013.Wimbo wa ‘Can I’ upo kwenye album mpya ya Views From the 6.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s