Video: Amber Rose awalilia Kanye West na Wiz khalifa, Asema amewasamehe japo wao walimuona kama Stripper tu

Model na muigizaji, Amber rose amesema amewasamehe Kanye west na Wiz khalifa japo hawajampa thamani anayostahili baada ya kuachana nao, amesema hayo wakati wa uzinduzi wa project yake ya ‘Slutwalk’ Los Angeles mwishoni mwa wiki iliyopita.

Huku akitokwa na machozi, amber rose amesema  amemsamehe Wiz khalifa kwa kumuona Stripper tu japo alimzalia mtoto na Kanye west aliyedai kuoga mara 30 baada ya kuachana nae.

“He came out with this song that really hurt me, because all I did was ever love him. I loved him so much and gave him a beautiful son, and to be told that I was nothing but a stripper — it hurt,” amesema amber rose.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s