BASATA wapongeza Planet Bongo

Baraza la Sanaa Tanzania, (BASATA) kupitia afisa habari wao Aristideus Kwizera wamepongeza kipindi cha burudani cha Planet Bongo cha East Africa Radio kwa mchango wao katika kupiga muziki wa nyumbani na kuelimisha wasanii kuhusiana na sanaa yao.

bb_8

Kwizera ameeleza kuwa, BASATA imefurahishwa na namna ambavyo elimu juu ya Hakimiliki na Hakishiriki kwa wasanii imekuwa ikitolewa sambamba na burudani kali ya ngoma za kibongo kupitia kipindi hicho.

Pongezi hizo zimetolewa na Afisa habari wa BASATA Bwana Artides Kwizela, na kusema kwamba ni suala zuri kukitaka kusukuma ajenda ya kurasimishwa kwa wasanii.

“Napenda kukipongeza kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, kwani mbali na kucheza muziki wa wasanii wetu wa nyumbani na kuukuza, lakini kinatoa elimu kwa wasanii kuhusu masuala mbali mbali yahusuyo haki miliki, haki shiriki, lakini vile vile kuwasaidia wasananii kulinda haki zao, big Up East Africa Radio”, alisema Kwizela.

Wiki iliyopita Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) walipost tweet ikipongeza kipindi hicho, na kusema maneno haya.

BASATA

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s