Soma point hii ya Hemed PHD

Hemed Suleiman ‘Phd’ ametoa rai kwa masanii wengazke kutoa elimu juu ya upigaji kura katika Uchaguzi Mkuu wa badaye mwezi huu badala ya wenyewe kuwa mashabiki wa vyama.

hemed

Pamekuwa na wimbi kubwa la wasanii tukumika kisiasa katika kipindi  hiki cha kampeni kwa kinachodaiwa kuwa malipo makubwa  hasa kutoka CCM.

Lakini  badala ya kupanda kwenye majukwaa na kupigia kampeni upande mmoja katika uchaguzi huo, Phd ametaka watoe elimu ya upigaji kura.

Alisema asilimia kubwa ya wapiga kura mwaka huu ni wageni katika maswala ya upigaji kura , hivyo  wanahitaji elimu  ya kutosha.

“Nashangaa wasanii wenzangu badala ya kusimamia kwenye maswala ya upigaji kura, wao wamekuwa wa kwanza kutukana wagombea”, alisema.

Chanzo: Lete Raha

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s