Huyu ndiye director mpya wa Furious 8

Muongozaji wa filamu F Gray Gray alisimamia filamu ya maisha ya zamani ya kundi la Hipho la NWA ‘Straight Outta Campton’ amechaguliwa kuongoza filamu ya nane ya Fast and Furious, ‘Furious 8’.

f8

Staa wa filamu hizi Vin Diesel aliweka picha akiwa na muongozaji huyu kwenye kurasa yake ya facebook. Imeripotiwa kuwa Vin na Gray wameshafanya mazungumzo na wamekubaliana kufanya kazi hio.

Gray amechaguliwa kuongoza filamu hii kutokana na mapato mazuri ya filamu ya Straight Outta Compton iliyotengeneza dola za kimarekani milioni 200.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s