Kabla ya Muziki KCEE alikuwa nani?

Kupitia inyerview aliyofanyiwa na City People msanii wa Five Star ‘Kcee’ amezungumzia maisha yake kabla ya muziki na umaarufu nakusema alikuwa mcheza soka mkali sana.

Kcee-and-Skiibii-at-the-radio-station

Kcee amesema aliwahi kuichezea klabu ya Julius Berger na Puma na alikuwa mshambuliaji mzuri sana,Mungu anampa nguvu kwenye mambo yote ambayo amekuwa akifanya toka wakati anakuwa.

Kuhusu soka Kcee anasema alichezea klabu hizo ila hakuwa analipwa chochote pamoja na kuwafungia magoli kwenye kila mechi, ilifikia wakati akawa anatafuta meneja ili ampeleke nje ya Nigeria kwenye klabu tajiri zaidi, ila wakati anafanya mipango hio alikutana na rafiki yake ‘Presh’ na wakiwa kanisani walijikuta wanaimba pamoja na kupenda muziki sana.

Baada ya hapo tulitengeneza kundi letu la KC Presh na kundi letu likashinda mashindano ya STAR QUEST.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s