Tafiti: Mmea unaokula wadudu

Mmea mmoja unaokula wadudu unatumia nguvu za matone ya mvua ili kuwakamata wadudu hao,wanasayansi wamebaini.

 151006115951_vibrometer

Wanasayansi hao kutoka chuo kikuu cha Bristol wamebaini kwamba matone hayo ya mvua husababisha mtikisiko katika majani ya mti huo ambayo yana umbo la mtungi.

Hatua hiyo huwapeleka wadudu katika mfuniko wa mtungi huo wenye mtego, ambapo wadudu hao huzamishwa na kuliwa.

 151006115842_ants_on_pitcher

Matokeo ya utafiti huo yaliochapishwa katika jarida la PNAS yanatokana na kamera zenye kasi na zisizo na mtikisiko mkubwa.

Kwa matumizi ya vifaa hivyo ,daktari Ulrike Bauer pamoja na wenzake walirekodi kasi na mtikisiko unayoendelea katika majani ya mti huo baada ya kuangukiwa na matoni hayo ya maji.

Hatua hiyo ni ya kipekee miongoni mwa mimiea , Daktari Bauer anasema.

”Kasi yake ambayo husaidia kuwakamata wadudu pamoja na vile mmea huo unavyotumia nguvu za nje ni swala la kushangaza”.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s