Video: Msanii wa Nigeria Patoranking akutana na Fat joe

Mkali wa ‘My woman my everything’ Patoranking amekutana na rapper mkongwe wa Marekani Fat joe Airport akitoka Huston kwenda New York City mwishoni mwa wiki iliyopita.

Kwa mujibu wa post yake aliyoiweka Instagram, Patoranking amesema Fat Joe amempa ushauri na njia za kutoboa Marekani.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s