Baada ya wimbo wa VIVA Kufungiwa ROMA ataja tarehe Special ya kutoa wimbo mwingine.

Rapa Roma ametangaza rasmi kuwa tarehe 25 October 2015 atatoa wimbo mpya ikiwa ndio siku ya uchaguzi.

untitled

Wimbo wake mpya wa Viva Roma Viva umepigwa marufuku kuchezwa kwneye vyombo vya habari na BASATA.

Roma ameandika hivi instagram. “#ON_SET Guess what!!!!!!! MY NEW SONG loading….. Nitai#RELEASE On 25th OCTOBER Thanx for the #CODE ”

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s