Idris sultan kuja na Tv show mbili, moja kuoneshwa BET

Mshindi wa Big brother Africa 2014 na mchekeshaji, Idris sultani anakuja na Tv show mbili ambapo moja itaoneshwa kwenye kituo kikubwa cha runinga BET na nyingine itaoneshwa kwenye kituo kipya cha runinga Vuzu.

idris

Alifunguka hayo kwenye kipindi cha mkasi wakati akijibu swali la kuwa anatumia muda mrefu kwenye mitandao ya kijamii ambapo pia lijibu kuwa Mitandao ya kijamii ni mmoja ya kazi ya mti yoyote maarufu,

“Ukiwa mtu maarufu watu wanahitaji kukuona muda wote na huwezi kupata interview kla siku, hivyo ni sehemu pekee unapoweza kuwa karibu na watu ili wajue unafanya nini. Kwahiyo hii sehemu ya kazi yako, nafanya a lot of thing, first nina like two TV shows ambazo zinatakiwa kuwa host up on Vuzu pamoja na BET,”  Alisema Idris

Hajataja vipindi hivyo vitahusiaha nini lakini Miezi michache iliyopita alikua akiweka picha na hashtag ‘Hustle&Fame’ hii inaweza ikawa moja ya Tv show hizo.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s