Mama Kanumba: Mama Lulu Angenipeleka Jela

MAMA mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefunguka kuwa endapo urafiki wao na mama Lulu, Lucresia Karugila ungeendelea, kuna siku angejikuta gerezani kwani angeweza kumfanyia kitu kibaya.

LULUMAMAYAKENAMAMAKANUMBANA3

Akipiga stori na gazeti hili, Flora alisema anashukuru urafiki wao kusambaratika kwani mara nyingi kwenye maongezi yao, hasa akiwa amepata kiburudisho, mama Lulu alikuwa akiropoka maneno ya ajabu yenye kumkwaza na kumtia hasira.

“Yaani namshukuru Mungu alivyotukosanisha maana alikuwa akitoa maneno ya hovyo ya kunitia hasira, akidai mwanangu hakuwa na akili, eti mwanaye Lulu ndiye mwenye akili ndiyo maana hakaukiwi pesa, wakati mwingine akinitukana na kunikashifu bila sababu,” alisema mama Kanumba

Chanzo:GPL

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s