Young Dee katoka Mtu Che,nafasi yake imechukuliwa na Young Killer.

Baada ya kuficha kwa muda mrefu imekuwa wazi kwa sasa kuwa Young Dee amejitoa rasmi kwenye kundi la Mtu Che na nafasi yake imechukuliwa na rapa Young Killer.

killer

Country Boy amesema ” Vitu vimeingiliana, Young Dee ana majukumu mengi na usimamizi wake unampa ugumu kufanya kazi na sisi kwa hiyo sisi tumeamua kuendelea kufanya, tumemuongeza Young Killer kwenye Mtu Che”

Country boy alihojiwa na Planet Bongo.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s