Nisha kwa Baraka Nimefuata Penzi, Si Pesa

Staa wa Filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema kuwa sababu ya kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na Mwanamuziki Baraka Da Prince ni kuhitaji penzi la kweli na si vinginevyo.

Nisha-na-Baraka-1 Nisha-na-Baraka-2 Nisha-na-Baraka-3

Akipiga stori na Ijumaa, Nisha alisema kuwa watu wamekuwa wakimsengenya kwa kudai kuwa eti yeye kuwa na Baraka ni sawa na ‘kumbemenda’ lakini akajitetea kwamba penzi la siku hizi haliangalii umri, kikubwa ni penzi la kweli.

“Unaweza kuwa na mtu mzima mwenzako na msielewane lakini ukawa na ‘serengeti boy’ mkaelewana hivyo mimi sioni tatizo kuwa naye na ninampenda hatari,” alisema Nisha.

Chanzo: GPL

Video Nisha na Baraka wakiwa kitandani: HAPA

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s