Picha za mpenzi mpya wa Justin Beiber aliyekuwa naye wakati anapigwa picha za utupu Bora Bora ziko hapa.

Jayde Pierce ’20’ ndio model aliyepata bahati ya kuwa na pop staa Justin Beiber kwenye visiwa vya bora bora wakati tukio la kupigwa picha za utupu kwa Justin linatokea.

Huyu ni model kutoka Uingereza na amekuwa akionyesha pichanza uzuri wake kupitia mtandao wa Instagram. Hizi ndio picha mpya.  

bb bb1 bb2 bb3 bb4 bb5 bb6 bb7

Chanzo: SamMisago.com

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s