Wizkid kufanya Show Tanzania kwa mara ya kwanza tarehe 31 mwezi huu

Wiz Kid msanii kutoka nchini Nigeria anatarajia kufanya show yake nchini Tanzania jijini Dar es salaam October 30 ambapo pia atazindua albam yake kwa mara ya kwanza, kwenye tamasha la Wiz Kid in Dar.

untitled

East Africa Radio wakishirikiana na kampuni ya King Solomon Entertain ment wametoa taarifa hiyo mapema leo wakizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam, ambapo wameongeza kusema kuwa tamasha hilo litafanyika katika viwanja vya leaders.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s