Alichokiandika Casper Nyovest, Kuhusu kutumia madawa ya kulevya.

Rapa kutoka Afrika kusini Cassper Nyovest amesema hajawahi kutumia dawa za kulevya za aina yeyote na hana mpango huo, anachofanya ni kujaribu kuonyesha kizazi kimpya unaweza ukawa POWA bila mambo hayo.

cn

Kupitia instagram yake Cassper anasema “proudly drug free “I’ve never touched drugs but I have touched people with my story. I don’t do drugs, I do sold out shows.”

Hivi karibuni Aka ame mdiss Cassper kuwa ameongeza ulinzi baada ya kuwa na beef na yeye.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s