Audio: Ridhiwan kikwete alinipigia simu kunipa hongera baada ya kuachia Ongea na mshua – Izzo Bizness

Izzo bizness amesema track yake ya ‘Ongea na mshua’ ilimpa mafanikio makubwa kwenye muziki ikiwa ni pamoja na raisi mwenyewe kumfahamu na kuipenda .

izzo

Akifanya mahojiano na Kipindi cha ‘Chill na Sky’ Izzo amesemea baada ya kuachia ‘ongea na mshua’ ridhiwan kikwete alimpigia simu kumpa hongera na kumwambia kuwa watafanyia kazi, Amesema

“Hapo nikaanza kuona sasa eenhee ndio kuelekea duniani huku, sababu kutoka getho mpaka napigiwa simu na watoto wa maraisi ni kitu kikubwa, akanambia kuwa hii ngoma mzee ameisikia ameikubali sana itabidi tu nifanye mchakato twende ikulu ukamcheck bana nini, nikamwambia nitashukuru kama imepokelewa vizuri na nini lakini mwanzoni nilikua naogopa hata master J nilimshirikisha akanambia isijekutuletea matatizo na nini..”

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s