Drake aweka Rekodi kutokana na album yake.

Rapa Drizzy Drake wa Young Money ametajwa na mtandao unaosimamia mauzo ya kazi za wasanii mtandaoni wa Neilsen Soundscan kuwa album yake ya If You’re Reading This It’s Too Late’ imekuwa album yenye mauzo ya juu zaidi kwenye mitandao kwa mwaka 2015.

DRIZZY

Album hii ilitoka feb 21 2015 na mpaka September 2015 Album hii imeuza kopi 951,000 na hivi karibuni ilitangazwa kuwa Platnum yani kopi milioni moja.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s