Shaa kuachia kazi mpya November 7, Asema tayari ameshoot video mpya 3 nje ya nchi

Malkia wa uswazi kama anavyopenda kujiita, Shaa amesema kuwa ataachia wimbo mpya tarehe 7 mwezi november baada ya kubanwa na kazi nyingi.

1sha

Akifanya mahojiano na kipindi cha Cloud E cha Couds Tv, Shaa aliongeza kuwa tayari amefanya video 3 nje ya nchi tangu mwaka jana, pia aliongeza kuwa mashabiki zake wategemee kitu cha tofauti kwasababu huwa anabadilika na anafanya mziki wa aina nyingi.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s