Mr. Chuz Aachana na Filamu

MKONGWE kwenye gemu la filamu Bongo, Tuesday Kihangala ‘Mr. Chuz’ ameamua kuachana na filamu kwa kile alichodai kwamba hazilipi.

chuzi3-1

Akichonga na paparazi wetu, Mr. Chuz alisema soko la filamu limeshuka na wasambazaji wanasuasua, jambo linalofanya maisha ya wasanii kuwa magumu, hivyo ameamua kuachana nayo na kujikita katika kutengeneza tamthiliya ambazo zinarushwa na Runinga ya Africa Magic.

“Nimeachana na filamu maana hazinilipi, soko lenyewe halieleweki, nimeamua kutengeneza tamthiliya ambapo naona kiukweli zinanilipa sana, nakuwa bize muda wote,” alisema Mr. Chuz

Chanzo: GPL

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s