Diamond ashinda ‘Best African Act’ ya tuzo za MTV EMA sasa kushindana na mshindi wa India kuwania tuzo ya ‘Best worldwide Act’

Diamond Platnumz ndio mshindi wa kipengele cha ‘Best African Act’ cha Tuzo za MTV Europe kilichokuwa kinashindaniwa na mastaa wengine wa Afrika ikiwemo  AKA (South Africa), Yemi Alade (Nigeria), Davido (Nigeria) na DJ Arafat

Diamond ameungana na mshindi wa India Priyanka chopra kuwania Tuzo ya ‘Best Worldwide Act: Africa/India’

Mwaka jana Sauti soul waliibuka washindi wa kipengele cha African Act japo hawakufanikiwa kushinda Tuzo ya ‘World wide’

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s