Rihanna asema akibahatika kufika Afrika Magharibi atafanya show bure,sababu …..

Rihanna amehojiwa na jarida la  The New York Times Style na kusema akialikwa Afrika Magaribi atafanya show bure kabisa. “Nataka nifanye kitu kwaajili ya watu wa huko, kama ambavyo Bob marley angefanya ‘

rihanna

Mwaka 2013 Rihanna alifanya show Cape Town, South Africa  na mwaka huo alifanya show kwenye Mawazine Festival nchini Morocco. Rihanna hajawahi kufanya show West Africa au  East Africa.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s