Linah abadilishwa na penzi zito

Star wa muziki Linah ambaye sasa anaonekana kuwa na furaha kubwa kabisa katika maisha yake ya kimapenzi ambayo si ya kificho tena, amesema anajionea mabadiliko makubwa, familia, mashabiki wake wakiwa wameilewa safari yake hii mpya ya penzi hadharani.

BOSS MUTOTOd

Linah ameieleza eNewz kuwa, anakumbana na changamoto za hapa na pale ikiwepo muonekano wa mvuto wa Boss Mutoto – mpenzi wake kwa wanawake wengine, kitu ambacho anakabiliana nacho, ingawa kwa upande wa kurasimisha mahusiano hayo wawili hawa kwa mujibu wa Linah mwenyewe, wameeleza kuwa hawawezi kumpangia Mungu.

BOSS MUTOTO_0

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s