Jua Cali azidi kung’arisha mitaa

Rapa Jua Cali kutoka nchini Kenya amegusa nyoyo za wengi baada ya kutembelea kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu huko Kibera nchini Kenya, na kutoa msaada wa nguo, ikiwa ni namna yake ya kurejesha shukrani kwa jamii.

d_16 Jua_Cali

Sambamba na msaada huo, Jua Cali ambaye anaendelea kuyapata katika muziki na biashara zake pia amepata nafasi ya kuzungumza na watoto hawa na kuwapa hamasa, kitendo ambacho kimegusa nyoyo za asilimia kubwa ya mashabiki wake, ikiwa pia ni njia ya kuwajengea moyo watoto hao kutokukata tamaa kwa mwanzo mgumu wa maisha yao.

Jua Cali amekuwa akiendesha zoezi la kufikisha mavazi kwa jamii ambazo zimekuwa na uhaba chini ya mpango wake wa Ng’arisha Initiative ambapo mara kwa mara amekuwa akifanya ziara kama hizi kufikisha misaada kwa walengwa.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s