Majina matano yanayowania tuzo ya MOBO Best African Act ndio haya.

Tuzo za MOBO zinaendelea kuchuja majina ya wasanii kwenye vipengele tofauti ili kubakiza top five na kipengele cha Best African Act kimepata tano bora.

Mobo-2015

Awali majina yalikuwa kumi na kwasasa matano yaliyobaki ni Davido wa Nigeria, Wiz Kid wa Nigeria, Aka wa Afrika kusini, Fuse ODG wa Ghana na Shatta Walle wa Ghana. Majina yaliyotoka ni Yemi Alade, Patoranking, Moelogo, Mista Silve Na Silva Stone.

Tuzo zinafanyika Uingereza November 4 2015.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s