Ommy Dimpoz kuachia Album ya kwanza mwezi December mwaka huu

Mwishoni mwa mwaka jana Ommy Dimpoz aliahidi kuachia Album yake ya kwanza mwaka huu, alitangaza kuwa Album hiyo ingetoka siku ya Valentine lakini haikutoka kama ambavyo alitangaza, Mshindi wa Tuzo ya Afrimma ‘Best NewComer  2015′ Ommy Dimpoz ameibuka na kusema anaikumbuka ahadi hiyo.

ommy

Ommy amedai kuwa sababu zilizofanya Album yake isitoke ni kampeni za uchaguzi lakini amesema atatimiza ahadi hiyo mwezi december mwaka huu

“So far nina nyimbo nyingi ambazo nimezirekodi, kwasababu kama nilivyoahidi tangia mwanzo nilikuwa na mpango wa kutoa album kwaajili ya mashabiki, ambayo sasa hivi kutokana na vuguvugu la uchaguzi ningekuwa tayari nimeshatoa lakini kutokana na kuupisha uchaguzi nimefikiria kuiahirisha hadi December.” Amesema Ommy Dimpoz

Chanzo: Bongo5

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s