Picha,Davido anamtafuta huyu shabiki aliyechora tattoo ya sura yake kwenye kifua chake.

Davido ameomba mashabiki wake wa Nigeria kutumia nguvu zao kumtafuta shabiki mwenzao aliyechora tattoo ya Davido kwenye kifua chake.

davido-tattoo-fan

Picha ya kijana huyu ilisamba kwneye mitandao ya kijamii weekend hii ikimuonyesha kijana huyu akiwa kifua wazi na tattoo ya sura ya Davido kwenye kifua chake na kuweka wazi kuwa yeye ni Die Hard fan wa msanii huyu kutoka Nigeria.

Chini ya tattoo hio kuna mchoro wa cheni ulioandikwa HKN ambayo ni lebel inayosimamia muziki wa Davido.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s