Said Fella aibua kundi jingine

Said Fella au Mkubwa na Wanawe ambaye hivi sasa anawania nafasi ya udiwani kupitia kata ya Kilungule jijini Dar es Salaam amezidi kuwekeza nguvu zake katika kuinua zaidi vipaji ambapo hivi sasa amelivumbua kundi la vijana chipukizi linaloitwa ‘Sallam

u_5

d_17

Said Fella ambaye ameweka makazi yake katika kata hiyo ya Kilungule ameongea na eNewz kuwa ameona vipaji vya vijana wa jinsia mbalimbali ambao wana uwezo mkubwa katika sanaa ya muziki, ambao wanataka kusaidiwa kufikia kilele cha mafanikio yao katika sanaa hiyo.

Aidha Fella pia amegusia kuhusu mipangilio endelevu ya vijana wake wa ‘Mkubwa na Wanawe’ wa Yamoto Band pamoja na bendi mpya ya Moyo Modern Taarabu.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s