Producer na msanii kutoka Nigeria Tekno Miles anayefanya vizuri na wimbo wake wa Duro amekanusha kuwa aliwahi kuwa na mahusiano na video queen kutoka Tanzania ‘Agnes Masogange’.

tekno-noma

Tekno amongelea tetesi hizo nakusema ” I Never had sex with Agnes” .

Tekno anasema walikuwa marafiki zaidi instagram na walikutana Nigeria ila hawajawahi kuwa wapenzi,

Agnes aliweka picha akiwa kwenye kitanda cha Tekno na kuandika “Nimependa vitanda 😂throwback cjui nahii ni Photoshop”

Chanzo: Ala za Roho

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s